Siyawezi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Siyawezi - Jay Melody
...
once again
Nikiulizwa nakupenda
Najibu i love you nyang'anyang'a
Hasa Hilo ndo tatizo
Cheki kitu unachonifanya
Navyovitaka my booh nipe vyote
Penzi maji nilioge
Au kambare nielee kwenye tope
Nipeleke kaaa ling'ombe
Me napenda kudekezwa
Sipendi kuumia ooooh
Na hata nikituma message
Naomba kujibiwa oooh
Hiyo michezo unayocheza
mwenzako me nitaliaa
Na hata niktaka mapenzi
Naomba kupatiwa oooh
siyawezi haya mapenzi siyawezi
Najua uko busy kweli ila mwenzako ndo siwez
Ayi babe
Siyawezi haya mapenzi siyawezi
Najua uko busy kweli ila mwenzako ndo siwez
Ayi babe
.......--------instrumental ------........----
Wee juwaa mapenzi yananiendesha
Hizi fujo huu usumbufu
Wee ndo unanipelekesha
Kwani naapa siwezi kuacha
Kama kuilamba kama kuing'ata
Kama kwenye makochi
Au kwenye kitanda
Venyewe unanipa ndo inanibambaaaaaa
Me napenda kudekezwa
Sipendi kuumia ooooh
Na hata nikituma message
Naomba kujibiwa oooh
Hiyo michezo unayocheza
Mwenzako nitaliaa oooh
Na hata niktaka mapenzi
Naomba kupatiwa oooh
Siyawezi haya mapenzi siyawezi
Najua uko busy kweli ila mwenzako ndo siwez
Ayi babe
Siyawezi haya mapenzi siyawezi
Najua uko busy kweli ila mwenzako ndo siwez
Ayi babe
siyawezi haya mapenzi siyawezi
Najua uko busy kweli ila mwenzako ndo siwez
Ayi babe