Baridi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Baridi - Jay Melody
...
.......GIN X DOUBLE SIX......
mmmmmh ....eweeee.....je je je je
once again once again once again
linabana Lina tight sijawahi pata penzi la hiv
.hii KITU kutoka Sio rahisi
hata kuzama pia sio rahisi
nahisi nimekolezana
kweli hivi sio kawaida maana wew unaachia mwanya umeniteka umenivaa
oooh......
Ndoto zangu toka zamani kulata MTU Kama weeee nilale lale kifuani kichwani anitawale
ndoto zangu toka zamani nipate MTU Kama wew atae nipa burudani
HIVI....
(oooh babe
hunnie
naskia baridi mimi) *4
....................................... oye oyoyoyo
nahapa nilipo nipo kilelen
Kama Kilimanjaro napenda unavyonipa vitu laini
nachizika na ulipo nayo
me kuwa nawe naskia Raha
kukupata naskia Raha .....
siunajuw unavyo nikuna
usiniache nitakesha bar
aaaaaaaaaah
ndoto zangu toka zamani nipate MTU Kama wew nilale lale kifuani kichwani anitawale ......
ndoto zangu toka zamani nipate MTU Kama wew atae nipa burudani mmmmmh
HIVI.....
ooh babe ......aaah
hunnie ....eeeh
naskia baridi mimi
( .oooooh babe
............. hunnie
naskia baridi mimi )*2
uuuuh laah.......
@....lyrics by nurathy....