Wa Peke Yangu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Wa Peke Yangu - Jay Melody
...
music
Gini X66
......
aaah aah aah ... Jay once again
vimacho na zake lips kumpata sio rahisi
Yani kweli mungu umenibariki mimi umenibariki
na kabla ya hii gift ukatufanya marafiki mpaka Sasa penzi liko lite motooo kiukweliii
Yaani kama nimeokota dodo chini ya mpera
nimeokota dodo na siambiliki hata kidogo
mwenzenu mimi nimeokota dodo
Wa pekeangu huyu wapekeangu huyu
Wapekeangu wa pekeanguu
Jamani wapekeangu huyu wapekeangu huyu wapekeangu Wa pekeangu
music.....
mapenzi gani haya anayo nipa
mpaka dam nasikia inavyo pita
kwenye moyo pia kwenye mishipa
au tuseme ndio kasha nishikaa
Yani kama nimeokota dodo chini ya mpera
nimeokota dodo na siambiliki hata kidogo
mwenzenu mimi nimeokota dodo
Wa pekeangu huyu wa pekeangu huyu
Wa pekeangu wa pekeanguu
Jamani wa pekeangu huyu wapekeangu huyu
wa pekeangu wapekeangu
Yaani yupo moyonii navyo muota usingizini
Jamani darling yupo moyonii navyo muota usingizini
Wa pekeangu huyu wapekeangu huyu
wa pekeangu wa pekeangu
Jamani wa pekeangu huyu wa pekeangu huyu
Wa pekeangu wa pekeangu.