Familia Moja Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Sote tu familia moja
Sote mwili mmoja katika Kristo
Tufanye kazi kwa umoja
Kila mmoja kwa talanta alizobarikiwa
Sote tu familia moja
Sote mwili mmoja katika Kristo
Tufanye kazi kwa umoja
Kila mmoja kwa talanta alizobarikiwa
Tuungane ndugu kila mmoja katika
Talanta alizotupa leo
Mungu atatudai siku moja
Tuzitumie apendavyo ohh
Tuzitumie apendavyo
Tumepewa agizo moja
Tofauti zisitutenganishe
Tufundishane kwa upendo
Imani yetu moja, Baba yetu mmoja
Tumepewa agizo moja
Tofauti zisitutenganishe
Tufundishane kwa upendo
Imani yetu moja, Baba yetu mmoja
Tuungane ndugu kila mmoja katika
Talanta alizotupa leo
Mungu atatudai siku moja
Tuzitumie apendavyo ohh
Tuzitumie apendavyo
Tuungane ndugu kila mmoja katika
Talanta alizotupa leo
Mungu atatudai siku moja
Tuzitumie apendavyo ohh
Tuzitumie apendavyo
Tuzitumie apendavyo
Tuzitumie apendavyo
Tuzitumie apendavyo
Tuzitumie apendavyo