Toka Shimoni Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Toka shimoni mpaka mahali salama
Bwana Yesu kanikomboa
Kanipa tumaini la wokovu bure
Ni huru, namtumikia
Toka shimoni mpaka mahali salama
Bwana Yesu kanikomboa
Kanipa tumaini la wokovu bure
Ni huru, namtumikia
Asema njooni kwangu ninyi nyote
Haraka kwenda Kwake
(Bwana asihi, leteni shida zenu)
Mkaribishe moyoni
(Bwana asihi, leteni shida zenu)
Toka shimoni mpaka mahali salama
Bwana Yesu kanikomboa
Kanipa tumaini la wokovu bure
Ni huru, namtumikia
Fungua moyo wako, Yesu aingie
Akae ndani yako
Awe kiongozi
Akae ndani yako
Awe kiongozi