Oh! Wanadamu Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Oh! Wanadamu, tumemwasi Mungu
Twatenda yaliyo mapenzi yetu
Tumeziacha sheria za Mungu
Tumegeukia njia potovu
Chagua kutenda yalo mema bila kukoma
Ukimtukuza Mungu yeye mwanzo wa Vyote
Mungu kwa pendo,
Katupa rehema, katupatia (katupatia)
Nafasi nyingine
Kurekebisha (kurekebisha) mienendo yetu,
Ili tumrudie Atupokee
Chagua kutenda yalo mema bila kukoma
Ukimtukuza Mungu yeye mwanzo wa Vyote
Chagua kutenda yalo mema bila kukoma
Ukimtukuza Mungu yeye mwanzo wa Vyote
Mwanzo wa vyote
Mwanzo wa vyote