Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2014

Lyrics

Ukipata - Ambwene Mwasongwe

...

Huuuuuhuuuu, yayayaaaaa!

Watoto yatima

Ilitokea hawakupenda

Ndio mzunguko wa maisha

Na kama lingekua fungu wasingechagua

Wanahangaika

Wanateseka

Wanapata shida

Hawana tumaini

Wameshaachwa

Wako peke yao

Mungu uwatazame kama baba Yao

Wanakutegemea wewe

Wanakutazama Bwana

Kilio wanacholia wanalilia moyoni

Maana hata wakilia nani atawafariji

Mungu uwasaidie uwatie moyo

Mzigo uwe mwepesi

Jamii imewasahau

Wanahangaika

Hata wakiomba omba

Wanawafukuza

Wengine wanawatukana

Huwaita chokoraa

Mungu uwakumbuke

Bwana (wakiachwa peke yao baki nao)

Kaa nao Bwana (Kaa pamoja nao kwenye baridi kali)

Kavifunge vidonda (Kavifunge vidonda vya mioyo yao)

Kazibe pengo lao (Kazibe pengo lililo mioyoni mwao)

Wakumbushe (Wakumbushe wewe ni baba na mama yao)

""

Jifanye kama umekufa upo kuzimu

Sasa inua macho yako tazama duniani

Uwatazame wanao wanavyoteseka

Wanadhulumiwa

Wananyanyasika

Sasa nyoosha mkono wako uwape chakula

Nenda kawatafutie vya kujifunika

Unagundua huwezi maana hauna mwili

Tena hawakuoni

Maana ulishakufa

Sasa unawafanya nini Watoto wa marehemu

Mbona unawadhulumu mali za wazazi Wao!?

Sivyo walivyokuachia ili uwanyanyase

Usiwatende ubaya

Ili usije kutendewa

Hivi una uhakika gani

Kama ukiondoka

Utamwachia nani Watoto wako?

Je akija kuwatenda kama utendavyo wewe

Utajisikiaje?

Je hayo utayapenda?

Bwana (wakiachwa peke yao baki nao)

Kaa nao Bwana (Kaa pamoja nao kwenye baridi kali)

Kavifunge vidonda (Kavifunge vidonda vya mioyo yao)

Kazibe pengo lao (Kazibe pengo lililo mioyoni mwao)

Wakumbushe (Wakumbushe wewe ni baba na mama yao)

"" ""

Tazama walivyopauka,

Wa kwako wanatakata

Tena watupa chakula,

Wao hawana

Wanatamani baba angekuwepo, mama angekuwepo

Wasingepata shida

Hawaelewi nini kimewatokea

Wanajiona wana mikosi

Jamii inawasahau

Tuwahurumieni hawa

Tuwaonyeshe upendo tu

Wengine kwa kujitetea

Wakaangukia pabaya

Wamefuata mikumbo wako pabaya

Wengine wametenganishwa na wadogo zao

Wengine wako jela

Lakini tatizo ni nini?

Walijaribu kuokoa maisha yao

Wakaenda kuiba

Wengine wamechomwa moto

Tunawalaumu bado

Kumbe tatizo tumewasahau

Wananenewa maneno makali

Wanasimangwa hadi wanaugua

Ila wafanyeje? - wanajikaza

Hawana pa kwenda wanavumilia

Mungu ingilia Kati.

"

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status