Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2014

Lyrics

Nguvu Ya Msamaha - Ambwene Mwasongwe

...

Alisikia minong'ono mtaani

Watu walikuwa wakiteta kuhusu yeye

Masikini huyu hakujijua

Alijiondokea akitikisa kichwa chake

Ahsante sana Bwana umenisaidia

Mabaya hayakunikuta mimi

Kumbe maneno yale yalikuwa yake

Ila bahati mbaya hakuyajua

Alipoyasikia alidhani mapya

Kumbe yalikuwa yanakwisha

Alipogundua Yanamuhusu

Alihangaika ajitetee

Aliwalaumu sana rafiki zake

Kwa kujua wamenyamaza

(Jamani Jamani)

Nyamaza usilie

Mungu atakusaidia

Hajawahi mtupa mtu

Nawe hatakutupa

**

**

Yakamshinda kuvumilia

Mabaya yale

Kila alipowaona wabaya wake

Moyo wake ulipasuka

Akapanda gari

Asijue aendako

Njia nzima alikuwa akiwaza

Kwa nini baba yangu

Amchukue Mke wangu!?

Aliwalilia Watoto wake

Ninawaacha mkiwa wadogo

Sikutamani muishi hivyo

Ila mama yenu kasababisha

Ninakwenda nikafie mbali

Ninasikitika hamtaniona

Nisameheni wanangu

Sitaki babu yenu na Mama yenu

Waone maiti yangu

Mwanangu!!!

Sikia,

Unadhani uchungu

Ulionao moyoni

Unaweza kuondoa

Kwa kuutoa uhai wako!?

Unadhani utaridhika

Kwa kuutoa uhai wako!?

(Je pia Mwanangu )

Je, pia unadhani

Ubaya huu uliotendewa

Unaweza kufutika

Kwa kulipa kiasi!?

**

**

Malaika wa Bwana

Walimfuata alikokwenda

Kila alipojaribu kujiua

Mara zote Hilo lilishindwa

Sauti ya Bwana

Ikasikika ikimuita

Rudi nyumbani

ukawaombe msamaha

Baba yako na Mke wako

Usiende kuwaambia Watoto wako

Ubaya wa mama Yao uliotendewa

Usijemlaumu baba yako

Mbele ya macho yao

Wakasikia

Mimi nakutuma Ninakusudi

Ukifika ukawaangukie

Nataka nijitukuze

Kwa nguvu ya msamaha

Nenda nipo nawe

Usiogope!

Nyamaza usilie

Mungu atakusaidia

(kwa hili nalo)

Hajawahi mtupa mtu

Nawe hatakutupa

(Kwa hili nalo)

Nawe hatakutupa

*

Unajua Mungu unanionea

Wamenikosea Hawakuniomba msamaha

Nilipo ondoka waliniona

Japo watoto wangu na Mama yangu

Sikuwaaga

Iweje leo uniambie nirudi nikawaombe

Wao msamaha Tena!?

Wakati wenyewe

Walipaswa kuniomba msamaha!

*

Ninajua moyo wako

Ulivyoumizwa mwanangu

Ndio maana nakutuma

Upone

Ninakutuma

Nenda kawaonyeshe

Nguvu ya

M---S---A---M---A---H---A

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status