Nikuone (Remix) ft. Kusah Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Nikuone (Remix) ft. Kusah - Dayoo
...
umenikaa kuchwani ndoto zangu kuwa na wee aah kwani uko nchi gani ama uko far away au uko Porto Rico China niambie nje huko maana mi natangatanga kipofu nisoona mwanga misinjui jina wala kabila ila nimezama kina kirefu nishawahi kumuona ila kwa fikira uzuli wak hakuna kama yey hata nipige gitaa maina nikuimbie kutwa am ready na ningeijua namba yako hata nngekuchek bas nipge gtaa maina