Umebadilika Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Umebadilika - Dayoo
...
dayoo-Umebadirika
naitwa Mangi.........
eeeh mbona umebadirika siwezi kukubadirisha ×2
aah
ulianza na visa visa ukiniona unakunja ndita maugomvi bila visa
inaonesha umenichoka basi usingetia nia ka hauezi umebadiri gia na hauendi Naona unachati nao tena wengi nisikufatilie haupendi Ni kweli una kasoro zako we binadamu najua
hauja kamilika ila upo kwenye Maisha yangu ukiondoka ya ta vulugika babe eeh. naona ume badirika siwezi kuku badirisha (badirisha) siwezi kukubadilisha me ×2
oooooh ye ye eee (eeeh). hivyo vimini vipodozi ulivyo jua IPO siku vita kutokea kwenye pua hao mashoga zako kwani hauja wajua wana Fanya utoto kama hawaja kua hauna roho ya kibina damu
unaendeshwa na ma Instagram ume badili mpaka na nizamu uuuh kiasi mpaka cha kunidhalau uuuh bac usinge tia nia Kaa hauwezi ume badili gear na huendi una chat nao tena wengi .iih)
nisi kufatilie haupendi ni kweli una kasolo wee binadamu najua a ah (huja kamilika)
ila upo kwenye Maisha yangu ukiondoka yata vurugika babe eeeh.
naona ume badilika siwezi kukubadilisha naona ume badilika siwezi kukubadilisha badilisha aaaah) siwezi kukibadilisha me ×2
#ma feeling record