Wewe ft. Otile Brown Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Wewe ft. Otile Brown - Hamisa Mobetto
...
kanijaza kwenye shingo
body ka mwana mitindo
ex kazingua vibaya
shizakira mada shiho
mama sijakutamani
nyathira ndonya ya kisumo Lee
Kama mpra umesha NASA kwenye nyavu
mbali na Mimi nakua kaadhabu
kutwa nakuwazaa wew Yani nakuwazaa tu wewe
washazoea kutuzushia ya uwongo
hata sijali ndiyo sinema zawa bongo
obthe umenigusa isee mbaya
obthe umenigusa isee mbaya
misa no go live lonley
penzi letu haliisha hata waongeii
misa umenigusa isee mbaya
misa umenigusa isee mbaya
ilaaa wewe iiiila weeee
ilaaa wewe mmh moyo wangu
ilaaa wewe
palipo Chanika usishone mi sipendi viraka
fanya wazi waonee walicho ninyima nimepataa
utamu wabelee ni bada ukipandisha Mori na data
madanga nishaweka mipaka najiria kuku paka raha
eeeh nakupa nakofiooh
nasimama vatiioooh eeh
amerowa kamitoo eeeh
getoni mafurikooo eeeh
tamu Kama patikoo eeeh
nakula kwakijikoo eeh
niminimi nimooo eeh
nachomeka kwenye Koo eeh
washazoea kutuzushia ya uwongo
hata sijali ndiyo sinema zawa bongo
obthe umenigusa isee mbaya
obthe umenigusa isee mbaya
amisa no go live lonley
penzi letu haliisha hata waongeii
misa umenigusa isee mbaya
Misa umenigusa isee mbaya
ilaaa wewe iiiila weeee