Sawa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Sawa - Hamisa Mobetto
...
It bob maneke
Mmmh, mhhhhh
Baby mwenzio nilizama nilikupenda vibaya
ila baby we hukujali, ulinifanya vibaya.
Mhh, baby mwenzio nilizama nilikupenda vibaya, ila baby we hukujali ulinifanya vibaya
Oohh, baba! Mwenzako niliumwa ulinipa homa
Ulinikaba hata nilipokufuka ulikoroma
Tena baba, nilichopanda siku kivuna ulinikaba hata nilipokufuma ukinisukuma
Penzi gani la kucheza na alingo, usiku kucha kupeana mugongo unataka baba nami ninywe gongo tu nilewe
Penzi gani la kucheza na alingo, usiku kucha kupeana mugongo unataka baba nami ninywe gongo tu nilewe
Tena naenda zangu (sawa,sawa,sawa)
Naondoka zangu (sawa, sawa, sawa)
Ukinikumbuka (sawa,sawa,sawa)
Usipo nikumbuka (sawa,sawa,sawa)
Me nazamani niliona wakilia nilijua wanaongopa
Nimekua nimeona, mapenzi yanatesa kinoma!
Jamani! Nimekoma eeh, tena kabisa me naogopa ee isije rudi homa na na na na!