Honey ft. Ray C Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Honey ft. Ray C - Rayvanny
...
i love you baby..
honey
love
sweetheart
teamo
my love
my baby
my everything ooh
aah ananiamsha kwa mabusu mabusu
maama ananipa massage ya mwili kwa chuchu
nyaama ananipa birian upaja wa kuku
jaama mbuzi kaja zizini simba na zuchu
naa wanune wanune wanune
naiwaume wakose cha kusema pakashume
najua inawachoma choma kushinda pini
wanatamani ndo wangekuwa mimi
unavyonipa joto centigrade 90 aah raaha
maji changanya iliki na mdalasini
rowesha nguo nisiende kazini
nikichafuka nifute kwa ulimi aah raaha
ooh ooh ooh ooh
honey
love
sweetheart
teamo
my love
my baby
my everything ooh
aah (honey) yeah
love(love)
sweetheart yeah
teamo
my love
my baby
my everything oh
yeah yeah yeah
mapenz ni kama upepo
unavuma ukipepea mioyo yetu
maumivu nini kwetu vicheko
waumie wanaonuna izo sio shida zetu
naa wanune wanune wanune
naiwaume wakose cha kusema pakashume
si ulimuacha (acha tu kusaidie)
sa niko nae (acha tukusaidie)
ulisema wanini (acha tukusaidie)
acha tukusaidie
ukasema umemchoka (acha tukusaidie)
leo macho yanakutoka (acha tukusaidie)
unanuna nini (acha tukusaidie) wewe
acha tukusaidie)