I Miss You ft. Zuchu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
I Miss You ft. Zuchu - Rayvanny
...
(Eyolizer)
(sound boy)
hivi bado una hasira
bado unanichukia
bado unakinyongo
moyo wako nishazira
bado unani nunia
hivi bado unausongo
kusema bora tuwachane
ndokeulina niuma kila nikikumbuka usi tafutani
sikujua narusha jiwe ndege waka peperuka
nisijuane nilisema kwa Sina
naona unajuta usinitukane
namba yangu nyingine usije futa
sipendi
tuchukiane
naugua
kila nikikumbuka zamani
sisemi
turudiane
najua
kwa kuwa ningumu haiwezekani
ila I want you to know
I miss you ( I miss you baby)
I miss you ( aaah)
I miss you ( nakukumbuka wewe)
I miss you ( I want you to know)
I miss you ( nakukumbuka wewe)
I miss you ( nakukumbuka baby)
I miss you ( ooh aaa yeah)
I miss you ( I miss you)
aaaaaah
aaaaaah
aaaaaaaah
alisema Sele Gogo
penzi ni kama mmea
hauchafui uogo
pale pasipo mbolea
we vilikushinda vidogo
ata vya kuni tetea
vikawa mbaka vifijo
nderemo zika potea
ni ya ya mo yo ni mwa ngu
we we uli la za mi ba
ni ku pe po le mwe nza ngu
pe ngo la ko li me zi bwa
waendelea na wafuga kucha
kina Sidika na Huddah
kili kiuzile ooh
ila tambua
kamaliza bucha
kwa zidia na ukubwa
nyama ile ile
sipendi tuchukiane
japo najua
Mungu amenilinda na mengi
nasi semi turudiane
hilo tambua
ninge nilipo vunja sijengi
na ni kosa la maa
I miss you
ooh hey
I miss you
weh niache
I miss you
I'm doing just fine ( I miss you)
I miss you
I don't miss you no no no no no (I miss you) no no no nooo
I miss you
hey
I miss you
aaah (aaah)
aaaaaaaah
mmmh
ooooh
I'm doing just fine
hey hey hey yeah
wasafi