Waongo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Waongo - Rayvanny
...
eti nilomwita my queen yaan nado leo kashika njia aloyafanya ni simanzi nishachoka kulia
nipe panadol changanya klorokwin madawa yote jazia sumu ya panya wapi kitanzi nishachoka dunia
aliniahidi nitakua wake kufa na kuzikana kigoma kwa bibi (native language) na tukapelekana
tena akanifariji nje nafanya mipango twende kuoana
kumbe muongo alinidanganya akanifany cartoon
kumbe muongo hadi safari za guest akasema saloon
kumbe muongo hawakutosheka chumbani wakafanya bafuni
kumbe muongo aloyafanya leo kwangu huzuni najuta
waongo hao
yani waongo hao waongo hao waongo hao
tena waongo hao waongo hao waongo hao
yani waongo hao waongo hao waongo hao
tena waongo hao waongo hao
wengi munapenda sura shepu mibinuko wakati hamuna kitu kwa mifuko
vimba kama puto kuringia uso kijana jua kuna babu yupo
anahudumia anagharamia kodi ya nyumba anamlipia na fenicha pia kamnunulia
ipo siku utaikalia
macho kwenye pesa macho kwenye noti macho sio kwa handsome macho ni kwa boss
chat za whatsapp hizo ni namba za mashosti ukitaka ufe cheki namba zakitosi
kamsave fundi wa hereni kumbe fundi wa mkoleni fundi wa mafundi yaani fundi miuno feni
ana fundi mikocheni
ana fundi magomeni
ila fundi wa manzese humfikisha kileleni
wakilia
wana machozi bandia
macho funika pazia
usishangae mikia
mtaumia vijana
waongo hao (ayoo)
yani waongo hao waongo hao waongo hao
(msiwaamini)
tena waongo hao waongo hao
waongo hao (ayooo)
yan waongo hao waongo hao waongo hao (msiwaamini)
tena waongo hao waongo hao waongo hao
niliyonayo moyoni hakuna anayeweza kuyaona kwa macho
ni kweli kikulacho kinguoni mwako
kweli kikulacho kinguoni mwako
tena waongo hao waongo hao WAONGO HAO