Sorry Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2012
Lyrics
Sorry - Barnaba
...
This is barnaba boy classic
And emma the boy classic
And this good music classic
Aaaah aaaaah
Nyuma nilitaka kuzungumza na wee
Ila nafasi hiyo kwako nilikosa
Sikujuta wala sikulalamika
Sababu naamini kukupenda we sijafanya makosa
Japo nilisafa machozi nikaangusha
Hujawahi nifuta ata kwakuniongopea
Ndo kwanza unacheka uku ukinibeza
Na mashoga zako vibalazani kunisimulia
Mpenzi duniaa imebadilika
Bado naweza nikakupa pesa
Nanikawa bado nakuongopea
Basi vumiliaa kesho ntapata
Nitakupa kila unachoitaji
Sababu we ni wangu malkia
Baby wangu am sorry iii
Sorry iiih
Sorry iih
Sorry iih
Baby wangu am sorry iih
Sorry iih
Sorry iih
Baby am sorry iih
Oneni navyolia kama mtoto
Kwenye sector ya mapenzi nahisi nimechapwa viboko
Na kinachoniumiza yangu huruma
Mana mama barnaba alinisii mwanamke akikuudhi husije mpiga
Oneni ndo nasafa
Huruma yangu inaniponza
Kazi yangu kufungua milango usiku wa manane wenzangu wakigonga
Nakupenda bado unampenda
Namvumilia kila akinitenda
Nahisi hiyo ndo nafasi anayotumia kuniumiza
Inshaallah navumiliaa
Najua yataishaa
Ipo siku atagundua kua mi ni wake wamaisha
Na sitomlipiziaa
Ntamvumiliaa
Namtambembeleza ntamsaisha kila atapo jikwaa
Baby baby baby wangu am sorry iih
Sorry iiih
Sorry iih
Sorry iih
Baby wangu am sorry iih
Sorry iih
Sorry iih
Baby am sorry iih