Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2022

Lyrics

Tamba ft. Kusah - Barnaba Classic (TZ)

...

nikupe nini wa ubani (tamba)

nakuona mpya si wa zamani (tamba)

au nikubandike bangoni(tamba)

au nitangazege hadharani(tamba)

hizo si mashida zetu baby(tamba)

wachnikupea wayauze magazeti baby(tamba)

nipende nipetipeti baby(tamba tamba)

waseme wakichoka watalalaaa aah

ooh baby

penzi upepo wa bahari

penzi letu linapepea

na na na na naa

wambea wakae mbali

hiki kimbunga watapotea

ukweli ni kwamba

mapenzi unayonipa nahisi dunia yangu

utadhani umenchanja

ninavyomwaika sio akili zangu

ooh ooh

akili ya mapenziii

nikaunda tenzi tena

nimekuwa mjinga kwenye penzi lako sijiwezi

mmh mmh mmh

upofu wa mapenzii

kwengine sioni tena

najifunga kauli kwenye penzi lako sijiwezi

ooh ooh

nikupe nini wa ubani (tamba)

nakuona mpya si wazamani (tamba)

au nikubandike bangoni (tamba )

au nitangazege hadharani (tamba )

hizo si mashida zetu baby(tamba)

wacha wayauze magazeti baby(tamba)

nipende nipetipeti baby(tamba)

waseme wakichoka watalalaaa (mmm)

Yeh

penzi letu njia panda(yeah yeah)

hawatuwezi propaganda( oh yeah)

acha tuvune tulipanda

mmh darling

nawahi nyumbani kukesha nawe

ukiwaga mbali ndo pressure my way

kama ni mzizi shina ndo we (eh)

watuachee

ongeza madoido baby

sasa ndumba za nn

ushaniroga chumbani

waja wana maneno

acha watwange maneno(sikwachii)

nimenasa zizini

buchani kelele za nini

waja wana maneno

acha watwange maneno (sikwachii )

aaah aah

ooh oooh

nikupe nini waubani(tamba)

nakuona mpya si wazamani (tamba)

au nikubandike bangoni (tamba)

au nitangazege hadharani (tamba)

hizo si mashida zetu baby(tamba)

wacha wayauze magazeti baby(tamba)

nipende nipetipeti baby(tamba)

waseme wakichoka watalalaaa



Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status