Power Couple
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Power Couple - Msodoki Young Killer
...
Heeeeh ...........eeebwanaaa, Mungu hakupi unachotaka,anakupa unachostahili , Moyo wangu hauna haraka ulisubiri, kwa unyenyekevu........, now i dezerve ......, unanipiga ruti nyingi sana masafa marefu , na ndo akafika kwetu, and now tupo safe , Mzuri wa tabia,sura pamoja na shepu , Harusi ndo kifuatacho,tuwaalike maelfu, waone nkikushika kunako kila nkipata gepu...., Kuna waliekuhate wanafki now okay, mbele ya macho yao wanaona tuanapiga stepuu......, spap ma shampaigne tupia picha facebook, ........yeah, insta wabaki wanadiss tuu yeah..., mi na wee till i die hakuna mkate mgumu babe mbele ya chai...., nshike kokote i don't feel the shy.....yeah, your my one and only...... Unanimaliza........., unavyo kandamizaaa....., Babe hakuna unachokibakiza..... Unanimaliza ........ utamu umepitiliza........, Babe hakuna unachokibakizaa....... Haaaa...... Nilikutaka...... nikakusaka..... ukanchezesha kombolela nikakupata yaani ....... nkakukamata yani ukawa unakata yani........ ndo kupeana roho ile kitu inataka yanii... mtoto unawaka ...... kwenye mtego nmenasa..... kama muda ni sasa ........ acha nitoke kiafsa twende zetu mombassa tuyaenjoy Masafa.... tukirudi ni chapter kando ya ziwa Nyasa......... Mungu hakupi unachotaka,anakupa unachostahili , Moyo wangu hauna haraka ulisubiri, kwa unyenyekevu........, now i dezerve ......, unanipiga ruti nyingi sana masafa marefu , na ndo akafika kwetu, and now tupo safe , Mzuri wa tabia,sura pamoja na shepu , Tuna pap mashampaigne tupia picha Facebook...... yeah.........hheeeee eeeebwanaaa........ Unanimaliza........., unavyo kandamizaaa....., Babe hakuna unachokibakiza..... beibiiii, beibiii yeaaaah Unanimaliza ........ utamu umepitiliza........, Babe hakuna unachokibakizaa....... ..................
Similar Songs
More from Msodoki Young Killer
Listen to Msodoki Young Killer Power Couple MP3 song. Power Couple song from album Power Couple is released in 2020. The duration of song is 00:02:33. The song is sung by Msodoki Young Killer.
Related Tags: Power Couple, Power Couple song, Power Couple MP3 song, Power Couple MP3, download Power Couple song, Power Couple song, Power Couple Power Couple song, Power Couple song by Msodoki Young Killer, Power Couple song download, download Power Couple MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
ayuuuuuub
petro michaelahyle
Erick apa [0x1f627]
gloryeayr3
ni moto sana hili song
Nic’s Tz
Hii nyimbo kwangu ni Best killer umetisha sana
MC Wamakato™
nakutafuta msodoki nataman sana kufanya kazi na ww unamziki mzur sana
ayuuuuuub
[0x26a1][0x26a1][0x1f63f]
after darkness ts young killer who is front line to hides people