Kizunguzungu Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Kizunguzungu - Ronze
...
Ya nini niwaze nikae niumie
Kisa nabembeleza mapenzi
Moyo wangu usiukomaze ufanane na jiwe
Mi ndo nishaghairi mapenzi
Nilijisahau kwenye penzi lako ooh
Kumbe ndo naiengeneza sumu ooh
Maumivu nilitakumbata kama mto
Ila ndo hukujali vile niumiavyo
Mmh nimeshindwa kustahimili mambo yako
Ya nini kujiumiza akili na hauko peke yako
Katu sikuombei dhohari yakwame mambo yako
Tunaacha tuachane salama napita njia yangu nawe pita yako
Naomba unisahau nifute kwenye memory yako
Kizunguzungu
Maana una dharau kwa kuniliza kama mtoto
Kizunguzungu
Umepanda dau unaniona mi sio type yako
Kizunguzungu
Tena unaniona kama nyau ulishanidhalilisha kwa rafiki zako
Kizunguzungu
We mtu gani usiye na mwiko
Kila kipitacho mbele unataka kiwe chako
Utamu wa wali tandu kwa makoko
Ila we umezidi unasonga ugali kwa kijiko