Majeshi Ya Malaika (Mtakatifu ni Bwana) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Majeshi Ya Malaika (Mtakatifu ni Bwana) - Zoravo
...
(Majeshi ya malaika,
Yanapaza sauti yakisema,
Mtakatifu ni Bwana,
Maelfu kwa maelfu
Yanapaza sauti yakisema,
Mtakatifu ni Bwana,
Na sisi watoto wako,
Tunapaza sauti tukisema,
Mtakatifu ni Bwana, )
Ni Bwana,
Ni Bwana,
Ni Bwana,
Mtakatifu ni Bwana.