UTANDAWAZI Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mchakato wa dhambi,
Umeongezeka ah,
Kupitia mitandao,
Imewaharibu uh,
Simu hizi za Leo,
Zimeongeza maovu,
Mambo ya utandawazi,
Wengi yamewateka,
Aaah.....
Ujambazi na uongo,
Leo umekithiri,
Sababu ya utandawazi,
Huu tulio nao,
Watu wengi,
Wako busy,
Kuliko kufanya kazi,
Wamelemewa na mitandao,
Kila siku ni kuchart....
Mungu wangu watazame,
Hawa ni watoto wako oh,
Wamekuwa ni wabaya,
A Ah Aaa Aah...
Tuutumie vizuri mtandao,
Kwa mambo mema,
Yenye kumpendeza,
Aaah.
Ona maovu yameongezeka,
Sababu ya utandawazi,
Tulio nao...
Watu wanautumia vibaya,
Utandawazi kwa mambo ya
Anasa na utapeli iii.....
Mungu Mungu Mungu,
Tusaidie,
Na utandawazi huu u,
Mwovu, Mwovu Mwovu,
Mwovu shetani,
Ameshatuteka wengi.
Nakusihi
Utumie vizuri, utandawazi ee
Si mzuri,
Ni mbinu za shetani,
Watu waangamie,
Eee
Haiyaiyaiyaiya Baba (Leo uokoke)
Mambo ya dunia na utandawazi uyaache(Leo uokoke)