Waache Waoane Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Waache Waoane - Chege
...
Waache waoane
Waache waoane
Waache waoane
Waache waoane
Yamethibitisha macho
Lakini moyo unakataa
Nimeamini kikulacho
Ni yule unaona anaekufaa
Nilifumba mboni zangu
Kwa wengine nimuone yeye tu
Nikamwaga jasho langu
Japo kidogo nile na yeye tu
Mwambie awe huru
Wala sitolalamaa haaaa haaa
Sitaki kukufuru
Wafunge ndoa salamaa haaa haaa
Waache waoane
Waache waoane
Waache waoane
Waache waoane
Anayepanga kugawanya
Huwaga ni Mungu baba
Kato siwezi kulalama
Riziki ni mafungu saba
Nimejitahidi saana
Huenda sikumridhisha labda
Ila kinachonichanganya
Hakuniambia kabda
Tena nakupa maua mpelekee
Wasije yatupa naomba wayapoke aah
Na suna nitafunga usiku niwaombee
Awape baraka Muumba watoto awaletee eeehh aaahh
Waache waoane (ohh salimini salama)
Waache waoane (wewe baba na mama)
Waache waoane (tena naweka na nadhiri)
Waache waoane (aku sitowasumbua)
Maji ya moto yamekuwa baridi lalalalaaaa
Hakimu nimekuwa shaidi lalalalaa
Ukijishusha mateso yamezidi lalalalaa
Aloniliza ndo wakunikufariji lalalaaa
Waache waoane
Waache waoane
Waache waoane
Waache waoane
Japo moyo wangu (kitete)
Moyo wangu (kitete)
Yarabi moyo (kitete)
Taratibu nitazoea
Moyo (kitete)
Moyo wangu (kitete)
Mwenzenu moyo (kitete)
Taratibu nitazoea
Ooh mama moyo (kitete)
Moyo hii (kitete)
Wangu moyo (kitete)
Taratibu mama eeh haa