Amezaliwa Horini Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Amezaliwa Horini - Rose Muhando
...
(ile nyota ya ajabu yaonekana mashariki
imejaa ishara zote zakuzaliwa mfalme mama jusi hawakunyimwa kuifuata nyota ile walifika yuraselemu nao wakauliza
yuko wap yy aliyezaliwa mtawala wa wayahud ili tumsujudie ....yeeeee)×2
(mjin mwadaudi amezaliwa mkomboz atakae waokowa watu na dhambi zao
dunia shangilien amezaliwa mesia
hallelujah hallelujah sifa n kwa bwana)×2
(walikuwapo na wachungaji waliokaa makonden wakilinda kundi lao kwa zamu usiku malaika kawatokea kawaambia usiogope maana leo katika yuda amezaliwa mfamle )×2
chorus
(walipokwisha kusema haya malaika wa bwana waliimba wimbo ule wimbo usio na mwisho)×2
(utukufu juu kwa mungu mbinguni dunian iwe Aman kwa aliowaridhia)×2
chorus
maongeo mapenzi yake vipo mabegan mwake tazamen anakuja kwa jina lake bwana