Soma Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Chorus
Somaaaa Juma weeh,
Somaaa Aaryani ,
Soma chombo we weeeh,
Soma mwanangu,
Baba yooh sina urithi,
Baba yooh sina ata mali hii iih,
Soma mwanangu weeh eeeh,
Soma mwanangu weeh aaah aaah eeyeh,
Verse 1
Nikikumbuka zamani huwa najuta eeh,
Baba na Mama yangu hawakubahatika eeh,
humuhimu wa elimu wazazi uliwapita eeh,
hivyk uikosa elimu ilinilazimu uuh uuh,
hivyo nakuomba chombo kua makini,
dunia hii elimu ndio utajirii iih,
epukana na mambo ya vijuweniii iiih,
hautovuna kitu zaidi ya umaskinii iih eeeh ,
Ukifika shuleni zingatia ukiwa darasani,
msikililize mwalimu anayosema yaifadhi kichwani,
Ukifika shuleni zingatia ukiwa darasni,
msikilize mwalimu anayosema yahifadhi kichwani eeh.
Chorus
Soma Juma weeh,
Soma Aaryani
Soma chombo we weeh,
nakusii mwanangu zuri,
Soma mwanangu,
achana na makundi sio mazuri,
Baba yooh sina urithiii,
Baba yooh sina hata mali hii iiih,
Soma mwanangu weeh eeh,
Soma mwanangu weeh aah aah eeyeh.
Verse 2
Hayati Magufuli alisoma ona alivyoongoza tanzania vema,
Raisi Samia Suruhu alisoma,
Ona leo anaongoza tanzania vema,
Kasima majaliwa baba alisoma leo anaongoza tanzania vema,
Mwalimu Nyerere na Mwinyi walisoma,
Mkapa na Kikwete walisoma,
ata wewe ukisoma kwa bidii kesho utayavuna mazuri,
Huwezi pata tabu utaisahau sifuri,
hivyo nakuomba chombo kuwa makini,
dunia hii elimu ndio utajiri,
epukana na mambo ya vijuweni,
hautovuna kitu zaidi ya umasikini eeh.
Chorus
Soma Juma weeh,
Wenda utakua rubani,
Soma Aaryani,
au daktari
Soma chombo weeh,
Ujue kua Engenier,
Soma mwanangu,
Baba yooh sina urithi,
Sina guta wala kibanda,
Baba yooh sina hata mali
Yani unga unga napanga,
Ooh huo maisha yamenipiga chenga,
Soma mwanangu weeh
I eeyeh I eeyeh I eeyeh i eeyeh
I eeyeh I eeyeh i eeyeh i eeyeh.