Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

Lyrics

Busara - Walter Chilambo

...

(Love Music)

Jawabu la upole huigeuza hasira bali neno liumizalo huchochea ghadhabu

Midomo ya mwenye hekima hueneza maarifa

Bali moyo wa mpumbavu haufanyi hivyo

Mmh bwana bwana bwana nakuita bwana

Uliye mwema bwana nakuhitaji bwana

Unaye badilisha nakututengeneza

Nanyenyekea kwako nanyenyekea kwako

Mimi ni kama gari bovu wajua pakugusa ni wapi ni wake

Mi ni kama kinda la ndege baba oh  ukiniacha nitaliwa na mwewe

Ooh mimi nikama jumba bovu  sijaezekwa na mkandarasi wangu ni wewe

Maana tunaangamia kwa kukosa maarifa

Nipe nipe nipe (busara)

Ooh nipe (busara)

Baba nipe maarifa na (busara nifanane nawe)

Nifanane nawe bwana ninaomba  (busara)

Hekima yako na (busara)

Domo langu nalijua mwenyewe (busara nifanane nawe)

Macho yako bwana yako kila mahali  yakichunguza mbaya na mwema

Mmh unitoe katika boma la miba maana ina choma

Na unifanye zao lenya faida nisiwe hasara tena

Unyenyekevu wako bwana (wako bwana)  wakufanana (hakuna)

Nami unifanye vivyo hivyo (ooh bwana)  unifinyange

Mimi nikama gari bovu wajua pakugusa ni wapi ni wake

Mi nikama kinda la ndege baba oh  ukiniacha nitaliwa na mwewe

Ooh mimi nikama jumba bovu  sijaezekwa na mkandarasi wangu ni wewe

Maana tunaangamia kwa kukosa maarifa

Nipe nipe nipe (busara)

Ooh nipe (busara)

Baba nipe maarifa na (busara nifanane nawe)

Nifanane nawe bwana ninaomba  (busara)

Hekima yako na (busara)

Domo langu nalijua mwenyewe  (busara nifanane nawe)

Nipe nipe nipe (busara)

Yesu nipe (busara)

Niondolee kiburi baba nipe (busara  nifanane nawe)

Uuh sikunibeba kwa mbeleko hivo  (busara)

Bali nitualize kwa neno lako (busara)

Bwana ninaomba hekima na busara (nifanane nawe)


(Walter)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status