Sinyorita (Remix) ft. Dully Sykes Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Sinyorita (Remix) ft. Dully Sykes - Lony Bway
...
ooooh nooooooh!
this is serious (boobroooke)???????
ni kweli mama umeniwasha taa,sijivungi umenikamataa maruanimaruani napandisha maruani na kama gori kipa umenidakaa,wala haunipeleki chakaa majirani majirani watakubeba majiraani aah
tena ukiona huridhiki unasema unanipatia ile sawa,una size unashepu unalips upo vyema,hunanafasi umejaa mama na wakiponda humezeshwi unatema unapepea unamabawaa
huoni jipya mana kuna vingi wamesema aah kwamba me nakunawa af sio kwelii,
wakati me nimezam kwako hata ukinitazama macho yatakwambia me niko hapo so baby don't go, changu chako siwezi kukudanganya title usiku tunapishana kwaito yaani tunashindana mana tunapendana
baby oooh my si (my sinyorita si)×6 ooh ???
(sinyorita si)×3 ????
mamasita sinyorita yabondita hashtaravishta bonarita gomatisa sita kwa sita naishushia na ??
nichanike misamba niwe kama chizi ili nizidi kukuganda nipe utumbo ndizi kitu mnato kinanda niongeze na walinzi ili wasije kukudanda (my lovee)
oon my way bby nakuja nipo am on my way nipe kisamvu nile nijilambe x2
wakati me nimezam kwako hata ukinitazama macho yatakwambia me niko hapo so baby don't go, changu chako siwezi kukudanganya title usiku tunapishana kwaito yaani tunashindana mana tunapendana
baby oooh my si (my sinyorita si)×6 ooh ???
(sinyorita si)×3 ????
(si si si siii)
it's lonybway