Kijiwe Nongwa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Kijiwe Nongwa - Roma Mkatoliki
...
alikuja kama masihii,tukamchangia sadaka,tukamuona nabii,aliyeshushwa siku ya pasaka,tukamtolea na zaka,ili kanisa lijengwe,e ee na bado akamlaza muumini kifo cha mende,hivi unamkumbuka babu?,babu wa lolyondo?,aaa yule mfugaji mwenye blichi la kikongo,watu wamekufa,watu wamefungwa,watu wamepoteza biashara,sasa umekaribia uchaguzi karudi chama tawala