KELELE ZA USHINDI ft. ZORAVO Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
KELELE ZA USHINDI ft. ZORAVO - PAUL CLEMENT
...
Hizi ni kelele za nini?
Hizi ni kelele za Ushindi
Mmepigana vita gani?
Amepigana Bwana sio sisi
Hizi ni kelele za nini?
Hizi ni kelele za Ushindi
Mmepigana vita gani?
Amepigana Bwana sio sisi
Hizi ni kelele za nini?
Hizi ni kelele za Ushindi
Kwani mmepigana vita gani?
Amepigana Bwana sio sisi