Bwana Mdogo ft. Patoranking Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Bwana Mdogo - Alikiba
...
yoooh
yogo on the beat
my girl umeni mack tata bodi matata mbaya
ehhh
bwana mdogo umenikamata unanicheza kama karata
eeeeyah
tulikutana kule capcaptown mpaka accra town ghana
eeeeyah
eti wanasema unasifa za kudanga na mengi wanasema sijali now
wivu umewaingia Mungu kanionesha ishara
ndege wanashangilia na nitakupeleka ulaya
wakiniona wananita bwamdogo bwana mdogo bwamdogo hawajui ninachofanya mimi bwamdogo bwana mdogo bwamdogo nikitema unashiba bwamdogo bwana mdogo Kilimanjaro napanda mie bado bwana mdogo bwamdogo
eeeaai eeeeyah eeeeyah ooooh
simple