Mungu Wa Bahati (Wewe Ni Mungu Remix) ft. Bahati Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mungu Wa Bahati (Wewe Ni Mungu Remix) ft. Bahati - Dk kwenye Beat
...
wewe ni mungu mungu wa sisi site
huruma rehema zako ziko tuh popote.
mi nakushangaa Baba upendo wako unanizidi by far Baba
ningekua we mi ningekataa Baba
by now dunia ingekua makaa Baba ingekua makaa aah
Yani mungu wa pozee anayetusumbua daily
ndo mungu wa Moses alikomboa waizraeli
mungu wa pastor nganga ametuchosha na matusi
ndo mungu wa ibrahamu wa issaca na Saudi
mungu wa Brighton huyu jamaa wwa kasheshe
bado ndo mungu wa Yule
Jonah wwa nineveh
mungu wa sumbua
Ezekiel mtumwa
bado ndiye mungu wa eliya na yoshua
Yani mungu wa bahati huyu ameokoka 50 50
anafanya video zinatrend kila wiki
ndo mungu wa msanii
ameokoka fyt
anafanya gospel na bado hasikiki
mungu wa rev Natasha mi huskia
bado ndo mungu wa Sarah wa bibilia
basi mi udongo tu nazidi sitasema
nainua mikono juu nasema we ni mwema