Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

I make ma' money simple

I make ma' money simple

i make ma' money simple(ee ee eeeeh)

simple......(ma' money simple)

i make ma' money simple(ma' money simple)

I make ma' money simple(ma' money simple)

I make ma' money simple(ee ee eeeeh)

aaaah......

sifukuzi pa kutoka aaah..

nafukuzia pa kuishi na kuzaaa

nawakazia mbele kazi si mzaa

na siku izi siui ma mc naua njaa

naishi ndoto na si jz bado

aaaah....

I make ma' money simple

as cal' me dimpo

nacharge kwa kila service

Max malipo

Kisha navuta diko Kuminimize malipo

ma' people!!

njaa ya watu makini so diko

favourite mckwa mameneja wa masoko

nazichange kuzikabili changes

maana ata marafiki nao wanazikeep change

na sikuizi hata ukimpiga mpenzi hana shida Kama machozi analilia kwenye range...

.............

i make ma' money simple(ma' money simple)

i make ma' money simple(ma' money simple)

i make ma' money simple(ma' money simple)

i make ma' money simple(ee ee eeeeh)

simple...(ma' money simple)

i make ma' money simple(ma' money simple)

i make ma' money simple(ma' money simple)

i make ma' money simple(ma' money simple )

i make ma' money simple(ee ee eeehh)

heeeeh......

natengeneza nyimbo mpya

kutengeneza ..

..mashabiki wapya

ili niongezee zije shows mpya

zungu la halflow ivi ndo nazivusha

mapokeo ya mifuko ndo yananitunisha

kutafuta hela narahisisha

kwa kufanya tendo la kuzizidisha

ATI mliniita commercial mulele mule

palipo totoza Moto kule kule

mtanipata na ice napooza Nile

ubaya wa kutumia njia ile ile

hutoweza ingiza pesa zile zile

ili kuingiza ni lazima kuumia

lakini kuitunza ni vigumu Mara mia

ukiongeza hela za watu watano

wataongeza zako Mara ishirini na tano

it's workin'....

kawaulize market networkin'..

...............

I make ma' money simple(ma' money simple)

I make ma' money simple(ma' money simple)

I make ma' money simple(ma money simple)

I make ma' money simple(ee ee eeeeh)

simple..(ma' money simple)

I make ma' money simple(ma' money simple)

I make ma' money simple(ma' money simple)

I make ma' money simple(ee ee eeeeh)

heeeeh...

sifukuzi mademu aahah

najaza machizi waje kuchukua mademu

nipo kazini na kazini mi ni kalamu

kalamu inaandika ninachoishi

so Sina Cha kuandikwa muandishi so siuzi gazeti

nauza show za wenye magazeti

naweka mikakati

kutengeneza bahati

mkali Nani sibeti

kutengeneza hits so kazi rahisi

Ila mi nikirahisisha Tu ni

kisu nahisi......

...........................

I make ma' money simple(ma' money simple)

I make ma' money simple(ma' money simple)

I make ma' money simple(ma' money simple)

I make ma' money simple(ee ee eeeeh)

simple (ma' money simple)....

I make ma' money simple(ma' money simple)

I make ma' money simple(ma' money simple)

I make ma' money simple(ee ee eeeeh)

..ee ee eeeeh.....

..ee ee eeehh.....

..ee ee eeeeh.....

..ee ee eeeeh.....

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status