Niteke Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Niteke - Nuh Mziwanda
...
.....
intro
....
Shoro na mziwanda
Shorobwenz on this one
na nuh mziwanda
let's goo
....
Verse 1: Nuh Mziwanda
kwako nimelamba turufu sio garasa
wachimba chumvi wananichora
mabishoo wa mjini wote kapa
walojaribu kunipora
kwako nimelamba turufu sio garasa
I will always love you love you
?
basi vimba na mii
you ma sweet melody
tukikosa leo tuongeze bidii
usijali baby
everything is gonna be alright
kwako sioni sisikii
unanipa nini
hata kama sina kitu
uko na mii
usijali baby
everything is gonna be alright
....
Bridge
....
napenda uki roll up your waist
girl you are the best
gimme dat gimme dat
one I go taste
east to the west
dey know we best
kwako sina say umeniwezaa
....
Chorus
....
mimi kwako (niteke niteke)
umeniroga (niteke niteke)
sina ujanja (niteke niteke)
(umenipa nini my wanguu)
mimi kwako
....
Verse 2: Stamina
....
okayy
nikisema nikusifie
nitasifia mangapi
nikisema nikuibie
nitaiba kwa wangapi
wanasema nikuache
ili uende wapi
acha tu nikung'ang'anie
kwani shingapi
ungekuwa malaika
ningeomba niwe mbawa
ukilalia shuka chafu
nitaomba niwe chawa
ntabaki chumvini
ukienda mwezini si sawa
you are my medicine
naumwa mapenzi nipe dawa
ntakufanya we ucheke cheke
na sitakuacha uwe mpweke pweke
acha nifanye tu makeke keke
uvae shera la harusi
na nikuvishe na pete
Okay
kwani u hali gani
mi kwako taaban
hata nikipata stim
nashushwa na mjani
kama kuniroga
niroge na moja kanga
sio uchawi wa kuniroga
mpaka uende kwa mganga
....
Bridge: Nuh Mziwanda
....
napenda uki roll up your waist
girl you de best
gimme dat gimme dat
one I go taste
east to the west
dey know we best
kwako sina say umeniwezaa
....
Chorus
....
mimi kwako (niteke niteke)
umeniroga (niteke niteke)
sina ujanja (niteke niteke)
(umenipa nini my wangu)
mimi kwakoo
umeniroga
sina ujanja
umenipa nini my wangu
......