Loading...

Download
  • Genre:R&B
  • Year of Release:2021

Lyrics

Nyamaza - Mrkiddo

...

...

weka pombe singara chini

subiri tuongeee

zima kijiti marijuana za nini

ngoja tuongee

mbona ulisema mengi

ukitaka nipoteee

saa umefanya nini na ulisema nini wala usijitetee


macho hayana pazia nilimuona anavutia

nae kanikubalia kumbe moyoni unaumia

Dunia imejaa visanga

ubinadamu umekua majanga

Tembo anaefugwa kwa banda anataka kula kuku pia na vifaranga

Mungu tu akusamehe wewe ni kama ndugu

Upunguze munkalii uadui wa nini mwenzangu eee

ukitenda kosa na hujaomba radhi unakosea(koseea)

Mama yake mzazi huruma ungemuone(oneea)


Chunga kinywa kiwe na kituo hekima ndo iwe funguo

maneno ya nini unajivua nguo

kumbuka ulimwengu ni kama chuo


ungenyamaaza

(kaa kimya)

bora ungenyamaza

(kama huna la maana)

ungenyamaaza

(ukikosa heshima)

bora ungenyamaza

(bora kukaaa kimya)

ungenyamaaza(usiongee)

bora ungenyamaza

(bora ungenyamaza)

ungenyamaza tu

bora ungenyamaza

kua muungwana

......

mmmmh mmh mmh mh


hasira hasara

mimi ni ndungu yako

ukanitoa kafara

ukakesha hukutaka kulala

ukipambana niaribikiwe

kaka wa mtwara

ukasahau mapenzi ni Siri

Tena Siri ya wawili

kilichokuponza maadili tamaa ukashindwa isitiri

Tunza heshima yako na mashabiki zako hadi mbungeni

na unapotongoza warembo boxer usiweke pembenii


macho hayana pazia

nilimuona anavutia nae kanikubalia

kumbe moyoni unaumia

ukitenda kosa na hujaomba radhi unakosea

Mama yake mzazi huruma ungemuonea


Chunga kinywa kiwe na kituo

hekima ndo iwe funguo

Maneno ya nini unajivua nguo

kumbuka ulimwengu ni kama chuo



ungenyamaaza(kaa kimya)

bora ungenyamaza

(kama huna la maana)

ungenyamaaza(ukikosa heshima)

bora ungenyamaza

(bora kukaaa kimya)

ungenyamaaza(usiongee)

bora ungenyamaaza

(bora ungenyamaza)

bora ungenyamaaza tu

bora ungenyamaza

(kuwa muungwana)

....

...

....



+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status