Dear Ex Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Dear Ex - Bahati
...
si nifungue roho
kama yule wa before
Dear ex
sitaki kurudia ya zamani nilikupenda sana
hila kuniona wa thamani
hukuniona wa maana
sitaki kubonga mob nikutushie lawama
Ila roho yangu naijua nilikupenda sana
nilipokosa nisamehe
hulipokosa niku samehe
na maisha ya endelee×2
rafiki zangu wanaulizia wanaulizia ndugu zangu wanaulizia yule wa zamani
naye mama anaulizia anaulizia
Majirani wanaulizia yule wa zamani
you never took your time to know me
time to know me
you never took your time to understand
you never took your time to know me
girl loving you is all I ever had
natamani siku zile
hisia zangu zinanikosea
ata ni konde ukiwa naye nina waombea×2
at Jaguar anaulizia anaulizia
mesesi anaulizia yule wa zamani
tiki favour anaulizia anaulizia
at Diana anaulizia ule wa zamani
wanna let you know,know know
wanna let you know
never let you go ,go go
never let you go×2
Chibu Dangote anaulizia anaulizia
Willy Paul anaulizia yule wa zamani
Kioko anaulizia,anaulizia
manager wetu anaulizia yule wa zamani
Toby B anaulizia
Silverster anaulizia
kwenye beat anaulizia yule wa zamani
Jalango anaulizia ,Dj mo anaulizia
Na mafans wanaulizia yule wa zamani
Vanny boy anaulizia
Mpasho anaulizia
ni nani atawajibu
mama Mueni anaulizia