Size 8 Reborn : Umetenda Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2021
Lyrics
Size 8 Reborn : Umetenda - Size 8 Reborn Official
...
huh uh
huh uh
yale umetenda yashangaza Bwana weh
viumbe vyote vinaimba utukufu wako we
yote umenena kweli umetenda Bwana we ni mwema Baba we×2
pokea sifa pokea uh uh uh
na heshima pokea uh uh uh
utukufu pokea eh eh eh
wastahili mwenye enzi eeh
pokea sifa pokea
na heshima pokea
utukufu pokea
wastahili mwenye enzi
pokea sifa pokea
na heshima pokea uh uh
utukufu pokea
wastahili mwenye enzi
yale umetenda yashangaza Bwana we
viumbe vyote vinaimba utukufu wako we
yote umenena kweli umetenda Bwana we ni mwema Baba we×2
vita ulishinda Baba
kwa Yesu kuna raha raha Baba
ufalme wako ufike utakalo lifanyike duniani kama mbinguni×2
yale umetenda yashangaza Bwana weh
viumbe vyote vinaimba utukufu wako we
yote umenena kweli umetenda Bwana we ni mwema Baba we×3