Chi Bonge ft.Marioo & Hanstone Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Chi Bonge ft.Marioo & Hanstone - Abbah Process
...
kama kupenda maradhi nikohoi taabani na kama kutangaza nakupenda kosa nifungwe ..kama kupenda upofuu me sioni na sisikii ndo maana natangaza nakupenda
we wamwisho kwa miee!! sichepuki na konakona!!! na upona nanyugu wee ukipika naponapona na rangi yako black me nakuona white... wekifupi nyundo nakuonaga munalaa...na nakuona motoo mwepesii mmmmmh aah
chorus
japo chi-chi chibonge ah chichichi chibonge...×2 ah minyama tu akipita minyama anatingisha minyama tu vile akipita minyama !!! hee..×2 miiinyaamaaa
verse 2: stone boy!!..
shepu ya mabonde mabonde nimeridhiaa.. nitakumiliki usikonde! hata nikifulia ooh babe unashow za ng'ombe mbuzi wanakimbia!! na washa huu muhogo wa jang'ombe leta sufuria babe usijipe stress!! wekibonge mwepesi waruka mpka sarakasi msamba karate!!! unajuwa eeh!!
hips kiuno shanga unamachenicheni!!! babe you like do know so mdomo lips nyembamba kiuno chako plain... girl gonna make me know so
chorus :
.....
mwenzako me napendaga vibaya (bayabaya).....mwenzako me naugonjwa wa moyo (moyomoyo)×2
lyrics by
@only_summerellah_tz
+255744872576 whatsup