Uliskia Wapi ft. Nulif & Pizo Dizo Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2020
Lyrics
Uliskia Wapi ft. Nulif & Pizo Dizo - Pizo Dizo Genge Queen
...
Uliskia wapi
..........
Jicho nyanya niko (mangwai )x2
jicho nyanya niko (mangwai) x2
buda mi huskia haupendi ngwai
(aaaaaaahhhhh uliskia wapii)
(malkia wa rap)
Ati zero aliacha dom
(wee uliskia wapi)
Ati gover ilitoa form
( wee uliskia wapi)
Wife material ni wa ocha..
(wee uliskia wapi)
hawa wa Insta ni kuchocha...
(wee uliskia wapi)
ati arsenali watabeba...
(wee uliskia wapi)
manzi ni tabia si kubeba..
(wee uliskia wapi)
ati nairobi kujuana....
(wee uliskia wapi)
mejja alipewa akuwe sana..
(wee uliskia wapi)
....................................................
Maina kageni si bachelor..
(uliskiia wapii )
2022 MCA ni vera..
(uliskiia wapii )
ati cancer hutibiwa na vela
(uliskiia wapii )
haga huwa fiti tu kwa dera...
(uliskiia wapii )
naskia dom hulipuwa jaba kushinda
(????)...........
nairobi ni pesa ndo nipate madem
umekutwa na mbogi utakimbilia wapi?
umetuma fare atakam saa ngapii..?
nina swali , Ezekiel Mutua n wa
Machakos na ndoi ngoma heat....
lazima nitaje madance crew
wasani walilipwa ,, uliskia wapi
na kaa ulilipwa ilikuwa pesa ngapi?
...........……….............................................
ati zero aliacha dom...
(wee uliskia wapi)
ati gover ilitoa form..
(wee uliskia wapi)
wife material ni wa ocha
(wee uliskia wapi)
hawa wa Insta ni kuchocha..
(wee uliskia wapi)
ati arsenali watabeba..
(wee uliskia wapi)
manzi ni tabia si kubeba..
(wee uliskia wapi)
ati nairobi kujuana..
(wee uliskia wapi)
mejja alipewa akuwe sana..
(wee uliskia wapi)
............................................................
buda naskia umesota..
hadi mamother zao ni kukuchota
si landlord alikufurushaa!!
kuanika maboxer zinatupa!
ukajifanya hatari kwa mbogi
mavibare ukavuliwa long'i!!
nishapita na kali niko na pupa na fali.
Alehandhro nipe asali
ulipatwa kwa keja ya opiyo..
(wee uliskia wapi)
ukinyonya wife maskio
ulikuwa ngerem( sindio)x3****
......................................................
ati zero aliacha dom
(wee uliskia wapi)
ati gover ilitoa form
(wee uliskia wapi)
wife material ni wa ocha
(wee uliskia wapi)
hawa wa Insta ni kuchocha
(wee uliskia wapi)
ati arsenali watabeba
(wee uliskia wapi)
manzi ni tabia si kubeba
(wee uliskia wapi)
ati nairobi kujuana
(wee uliskia wapi)
mejja alipewa akuwe sana
(wee uliskia wapi)
....................................................
(we uliskia wapi)
(we uliskia wapi)
(we uliskia wapi)
(we uliskia wapi)
(we uliskia wapi)
(we uliskia wapi)
(we uliskia wapi)
(we uliskia wapi)
.....................................................
......................................................