Twasoma Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Twasoma - Godwin Ombeni
...
Twasoma ni njema sana mbingun kwa bwana Twasoma dhambi hapana mbingun kwa bwana malaika Wema wapo vinanda vzur vipo na majumba tele yapo mbingun Kwa Bwana sikuzote ni Mchana ni nchi ya raha wala machoz hapana ni nchi ya raha walioko wauona uso wa mwokoz tena jua jingne hapana ni nchi ya raha hapana vitu viovu havimo kabisa kifo nacho na ubovu havimo kabisa Ni watakatifu wote wameoshwa dhambi zote wasio safiwa wote hawamo kabisa instrument Kwa dhambi zote Mwokozi akafa kwake tutaoshwa zote mwokozi akafa Baba mama ndugu zetu twenden kwa Bwana huku chin siko kwetu twenden kwa Bwana Kwake twapata wokovu tutawona utukufu Mbinguni tutamsifu Mwokozi akafa tusishikwe na dunia na dhambi kutulemea tutupe vya chini pia twenden kwa Bwana