Usiniache. Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Usiniache. - Gilbert Noah
...
usiniache Bwana wangu
usiondoke karibu nami
usinache Bwana wangu
usiondoke karibu nami
Ulipo wewe hakuna
kinachoharibika
Uwepo wako wathamani
kuliko fedha
ukiondoka nitaongozwa na nani
ukiniacha nitapotea gizani
ukiondoka nitaongozwa na nani
ukiniacha nitapotea gizani
kuwa nawe amani furaha tele
sitakuacha ee Bwana uniodoke
kila niendako na wew
oooho mimi na wewe
nitang'ang'ana na wewe
mmmh mimi na wewe
kila niingiapo na wewe
na nitokapo
mimi na wewe
mimi nitang'ang'ana
na wewe Bwana
mimi na wewe
chorus
@BEBO OG