Mtatuzi Wa Zogo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Mtatuzi Wa Zogo - Timam
...
Kakiwa kamehuha bado uko kitini
Sisi hatubabaiki ww ni Mtatuzi wa Zogo
Na kukiwa kumethoka,life imegonga , moyo unahisi kuchoka
Wewe ni Mtatuzi wa Zogo
Tusipoona dalili tukizungukwa na janga upande mashida na maafa
Wewe ni Mtatuzi wa Zogo
....
Chorus
Wewe ni Mtatuzi wa Zogo
Hauchezangi ndogo
Ligi yako ni soo
Tunajiweka kando ndio ucheze kiwewe.....×2
Verse 2
Unatrack record ya kufana
Walikuwa kinenge wakadishi manna
Maji ukapasua barabara wakapita
Ni kipi kinakutisha
Wewe ni yule yule toka jana
Na hulalangi daily uko janta
Confidence iko kwako
Tukiomba inafika (inafika)
Zaidi ya Kings wa dunia umejaa Greatness
Kivipi ni ji stress
Utacheza kama wewe
Utatatua Zogo
....
Chorus
....
Cheza kama wewe
Tumejiweka kando
Uwanja ni wako
Cheza kama wewe
Yahweh
.....