Kosea Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Hujawahi kokosea sijawahi kuwa sawa
Oooh baby unaninyanyasa Saana
Hujawahi kokosea sijawahi kuwa sawa
Oooh baby unanitesa Saana
Sometimes nafanya vile vitu sipendi ilinikuridhie ila ndio bado nanong’ona
Natamani ardhi ipasuke ili inimeze maana mwenzio nimechoka
Mwenyezi Mungu niwezeshe bora ilipofika nisepe
Kama umenichoka unieleze babbbyy
Mwenyezi Mungu niwezeshe bora ilipofika nisepe
Kama umenichoka unieleze babbbyy
Hujawahi kokosea sijawahi kuwa sawa
Oooh baby unaninyanyasa Sanaa
Hujawahi kokosea sijawahi kuwa sawa
Oooh baby unanitesa Saana
Elewa sishindani na wewe sibishani na wewe
Mama utakalo na liwe
Elewa sishindani na wewe sibishani na wewe
Mama utakalo na liwe
Nenda kushoto niende kulia kama hatutakani
Nimekuvumilia ila nikama hatuendani
Kila siku vitimbi utadhani vioja mahakamani
Hapa ilipotimia kwenye mapenzi nshapoteza imani
Hujawahi kokosea sijawahi kuwa sawa
Oooh baby unaninyanyasa Saana
Hujawahi kokosea sijawahi kuwa sawa
Oooh baby unanitesa Saana
Hujawahi kokosea sijawahi kuwa sawa
Oooh baby unaninyanyasa Saana
Hujawahi kokosea sijawahi kuwa sawa
Oooh baby unanitesa Saana
--- www.LRCgenerator.com ---