Jamani Yesu ft. Agnes Masika Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Jamani Yesu ft. Agnes Masika - Mercy Masika
...
uuuuh
uuuuh
uuuuh
uuuuh
(Agnes Masika)
ninakitu hapa moyoni mwangu
kinanichoma lazima nikiseme
ninakitu hapa moyoni mwangu
kinanichoma lazima ninikiseme
(Mercy Masika)
nilikutana na mtu mmoja
akaniambia jina lake Yesu
nilikutana na mtu mmoja
akaniambia jina lake Yesu
huyu Yesu
huyu Yesu
nielezeje alivyonitendea
baba
huyu Yesu, mama
huyu Yesu
nielezeje alivyonitendea
oooooh
oh yeyeye
(Agnes Masika)
alinifia
pale msalabani,
kwa damu yake
mimi nimepona
mtu wa kale
katupilia mbali
kiumbe kipya
nimetakaswa
(Mercy Masika)
alinifia
pale msalabani
kwa damu yake
mimi nimepona
mtu wa kale
katupilia mbali
kiumbe kipya
nimetakaswa
huyu Yesu
huyu Yesu
nielezeje alivyonitendea
baba
huyu Yesu (mama)
huyu yesu
nielezeje alivyonitendea
(Agnes Masika)
amenijaza
na roho mtakatifu
vita na giza,
mimi nimeshinda
nina Imani, amani na furaha
uzima tele
mimi nimepata
(Mercy Masika)
amenijaza
na roho mtakatifu
vita na giza,
mimi nimeshinda
nina imani, amani na furaha
uzima tele
mimi nimepata
huyu yesu
huyu yesu
nielezeje alivyonitendea
huyu yesu
huyu yesu
nielezeje alivyonitendea*2