Mandingo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Mandingo - Wini (Tz)
...
namung'unya na muhogo nang'ata
chumbani kwenye kiti naifuata Baby mwaga mbolea tupalilie matuta ( tuta ..matuta) una utamu kolea ziba ufa kwenye nyufa moyo wangu wa pelege yangu maji ya mto baba, basi chutama unibebe ogopa vipanda uso baba
o kwako sina malingo malingo baba
(ushanichanganya)
umeninasa kwa ulimbo oh ulimbo pakaa ,kama mtama dokoe
(doko dokoe)
mwali kafunzwa somo
( somo somoe)
wa mbagala magoe
(mago magoe)
saga nikoboe umeniweza na hayo
Mandingo ...... Mandingo
yani wewe una Mandingo
mandingo
napenda anavyonisugua sugua
ohh baby oh oh sugua sugua wasiotupenda waumwe surua..surua
oh baby oh oh surua surua
ohh baby shika guu oh baby weka mua mpaka useme oh mama oh mama sululu kwa kitanda baby vunja Kibanda mpaka kuche hakuna kulala
Baby we nimalize nyoka aingie kwenye pango, vigugumizi ndio tuwatoe chanzo, uninyunyize kwenye chungu kikango, ruksa nilambe hadi kwenye unyayo
kwako sina malingooo...malingooo
baba ( ushanichanya)
umeninasa kwa ulimbooo..ulimbooo
mpaka
kama mtama nidokoe
( doko..dokoe)
mwali kafunzwa somo
( somo somoe)
wa mbagala magoe
( mago magoe)
we saga nikoboe umeniweza na
hayo Mandingo ..Mandingo
yan wewe una Mandingo
Mandingo
napenda unavyonisugua .. sugua
wasiotupenda waumwe surua..surua
oh baby oh oh surua surua
umeniweza na hayo Mandingo
finesse girl