Wewe Ni Mungu ft. Regan Sarkozy Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2016
Lyrics
Wewe Ni Mungu ft. Regan Sarkozy - Daddy Owen
...
Ozali eeh Messiah
Mokano nayo esalema oseeh
Eeh ozali
Ozali eeh Messiah
Mokano nayo esalema oseeh
Wewe ni Mungu usifiwe
Mapenzi yako yafanyike kote
Na kuishi kwangu ni we
Kulala kwangu ni we
Kuvaa kwangu ni wewe Baba
Maisha yangu ni wewe
Baba ni wewe
Uzima wangu ni wewe Yahwe
Hata kama sina pesa
Hata kama sina mali
Hata kama sina
Kwa mapenzi najua utatenda
Maisha yangu ni wewe
Baba ni wewe
Uzima wangu ni wewe Yahwe
Eeh ozali
Ozali eeh Messiah
Mokano nayo esalema oseeh
Wewe ni Mungu usifiwe
Mapenzi yako yafanyike kote
Yazali nzambe ya bolingo
Yazali nzambe ya boboto
Yozali nzambe
Yondeo bikisanga olongolanga napasili
Ozali nzambe ya bolingo
Ozali nzambe ya boboto
Ozali nzambe yo bikisakaa
(Yobokisa bikisa)
Yazali nzambe ya bolingo
Yazali nzambe ya boboto
Yozali nzambe
Yondeo bikisanga olongolanga napasili
Ozali nzambe ya bolingo
Ozali nzambe ya boboto
Ozali nzambe yo bikisakaa
(Eh ozali)
Ozali eeh Messiah
Mokano nayo esalema oseeh
Wewe ni Mungu usifiwe
Mapenzi yako yafanyike kote
Wewe ni Mungu usifiwe
Mapenzi yako yafanyike kote