Aya Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Aya - Marioo (TZ)
...
Mario (Tz)__Aya
mmh mmh uuu naumii aee
mockoo
mmm mm
Ndo kusema kwamba na bahati mbaya
ama ni nyotaa.......imefifia aa
naona sio kweli kila siku mimi ndo naumiaaa
Ndo kusema kwamba sura yangu mbaya
haina hulka ya kuvutiaa aa
Mana sio kweli kila siku mimi ndo naumia
ina Mana penzi ingekuwa chombo cha usafiri ningekosa ata sehemu ya kusimama ningewezaje nitawezaje
Au labda mapenzi hufaa kwa matajiri
afu mi apa Sina Mana sa nitaanzaje nitaanzajeee
inawezekanaje nikose kufurahi siku zote nazoishi na uhai unajua mungu hapendi walimwengu mna visaaa
Nikisema niage ntakuwa najilaghai
moyo utakuwa bado unanidai
acha niweke Imani ipo siku nitaridhishwa
Aya... Aya...
Aya..... Aya
Na si ninacho maanisha mkijua
kuyakosa mapenzi inanitesa
sawa nakua nayaona sa mbona yananizidia
Ivi nachoomanisha mnakijua upweke unanitesa afu nakuwa nawaona wengine Wana enjoy
ingekuwa gambe ndo dawa ya mawazo ningekunywa nilewe aaah nilewe...nilewe
inawezekanaje nikose kufurahi siku zote nazoishi na uhai unajua mungu hapendi walimwengu mna visaaa
nikisema niage ntakuwa najilaghai moyo utakuwa bado unanidai acha niweke Imani ipo siku nitaridhishwa
Aya.... Aya.....
Aya..... Aya... Aya
mocko genius