Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Nakataa ft. Edel Kweyu - Rose Muhando

...

lyric sync by Phellow 254790511905

JAWABU STUDIOS

mimi ni wa Mungu

ah

Mimi ni wa Mungu

mimi ni wa Yesu

ah

Mimi ni wa Mungu

ni mtoto wa Yesu

mimi ni wa Mungu ah, mimi ni wa Mungu

enyi madhabahu ya giza

nawavunja leo hamtanifunga tena

nawavunja leo

hamtanikalia tena

nawavunja leo

nitafaulu maishani, najitabiria

mmenifinya muda mrefu

ah nakataa

eti kwetu hatusomi

ah ah nakataa

boma yetu hatuolewi

ah mimi nakataa

eti hatujengi nyumba za maana

weh! nakataa

eh mimi ni wa Yesu ah

Umasikini sitaki mimi heee! ah

mimi ni wa Mungu

mfano wa Mungu

ni wa Mungu, agano la Mungu

mapatano ya mizimu ya kwetu

hayanihusu

maagano ya mababu zamani

sikuwepo

mimi nimenunuliwa kwa damu ya Yesu

mimi nimetengenezwa kwa mikono ya Mungu

mimi ninaishi sana kwa ahadi za Baba

ikiwa madhabahu ya kwetu,

hapana, (mimi)nakataa

uchawi wa kwetu

hapana nakataa

maagano ya kwetu

hapana nakataa

madhabahu za mababu

hapana nakataa

kutengwa kwa baraka

hapana nakataa

laana na mikosi

hapana nakataa

maagano ya waganga

hapana (ah sitaki mimi) nakataa

Umasikini na kuchoka

hapana nakataa

kuchekelewa kwa kijiji mimi

hapana nakataa

madharau ovyo ovyo

hapana nakataa

kulialia kila siku

hapana nakataa

kuchekelewa na watoto

hapana nakataa

kufutwa kazi ovyo ovyo

hapana nakataa

kuhangaika maishani

hapana nakataa

kataa kataa kataa

hapana (navunja mimi) nakataa

kata kata kata kata

hapana nakataa

****piano****

mimi ni wa Mungu

ah

Mimi ni wa Mungu

mimi ni wa Yesu

ah

mimi ni wa Yesu

eh ndo mwana wa Nyasaye wewe ah

mimi ni wa Mungu ah Mimi ni wa Mungu

harufu yangu ni ya mbinguni tu

mimi ni wa Mungu ah (kula ngoma)

mimi ni wa Mungu

damu yangu ni Yesu tu

mimi ni wa Yesu ah mimi ni wa Mungu

na DNA yangu ni mbinguni tu

mimi ni wa Mungu ah mimi ni wa Mungu

******piano*****

mimi ni wa Mungu, mfano wa Mungu

ni wa Mungu, agano la Mungu

ni wa Mungu, patano la Mungu

tena mrithi wa ahadi za Mungu

si za mababu, ahadi za Mungu

kama ni utajiri lazima nitajirike ah

kama ni kufanikiwa lazima nifanikiwe

kama ni ndoa nzuri lazima niolewe jamani

kama ni mafanikio lazima nifanikiwe

waliopatana wazazi wangu na maagano ya kwetu

eh hayanihusu mimi

aje!

waliopatana wazazi wangu na maagano ya kwetu

eh! hayanihusu mimi

aje!

ikiwa madhabahu ya kwetu

hapana (mimi)nakataa

uchawi wa kwetu

hapana nakataa

maagano ya kwetu

hapana nakataa

madhabahu za mababu

hapana nakataa

kutengwa kwa baraka

hapana nakataa

laana na mikosi

hapana nakataa

maagano ya waganga

hapana (sitaki mimi)nakataa

umasikini na kuchoka

hapana nakataa

kuchekelewa kwa kijiji

hapana nakataa

madharau ovyo ovyo

hapana nakataa

kulialia kila siku

hapana nakataa

kuchekelewa na watoto

hapana nakataa

kufutwa kazi ovyo ovyo

hapana nakataa

kuhangaika maishani

hapana nakataa

wewe

kata kata kata kata

hapana nakataa

navunja mimi

hapana nakataa

kata kata kata kata

hapana nakataa

lyric sync by Phellow 254790511905

You are blessed because you came.

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status