Sir God ft. Daway Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Sir God ft. Daway - Bando MC
...
Bando Mc
Sir God
ShaiTown Boy
Nishavunjwa mbawa
ilimradi anga nisipepee
nibaki chini niwanyenyekee
Ndo nakueleza
Haiko sawaaa
walikesha wakiomba nipotee
mungu baba akanitetea
Ndo nakueleza
Ila anabless Sir God
Sir God
Ndo Mana nipo Hapa leo
Sir God
Ahh waliojaribu kuniroga
wamekufa miniko freshi
nachoogopa ni uoga ambao hata haunigopeshi
Binadamu hawezi kunipa Stress
Mana maneno Yao hayakuwai kunipa cash
Nakama anapangaga mungu nani atapangua
Alieweka Asubuhi ukungu mchana ikawa jua
kiangazi ukame masika inyeshe mvua
Alienijua kabla hata mama angu ajanijua
Kuni akiba uicheka inayo teketea
Nimezijua shida toka nipo chekechea
Bidii Haina desturi Ya kumtupa mtu
Ndo mana huwaga Sina Roho ya kitu
aah maisha ngazi kaza mwendo ukipataka juu
Dunia ni chafu muombe mungu utatakata tu
Ishi kwa shaka binadamu wengi paka
ulimuazima kiatu Leo kesho anaweza akakuta mguu
Nishavunjwa mbawa
ilimradi anga nisipepee
nibaki chini niwanyenyekee
Ndo nakueleza
Haiko sawaaa
walikesha wakiomba nipotee
mungu baba akanitetea
Ndo nakueleza
Ila anabless Sir God
Sir God
Ndo Mana nipo Hapa leo
Sir God
Saxophone
Ahh mungu sio babako ukisema ukitaka anatenda
Ndo Mana anatabia ya kuwapa hata usiowapenda
Haujui kesho yake mpaka aliegundua kalenda
udongo unaovimbia ushafukia wengi tulipwapenda
Tushaugua mafua bila bima ya kutibiwa
kumwagilia mabua kizani ukizani miwa
maisha yaliontokea Yanishida zikizidiwa
Unauza sumu ili ukanunue maziwa
maisha ngazi kaza mwendo ukipataka juu
Dunia ni chafu muombe mungu utatakata tu
Ishi kwa shaka binadamu wengi paka
ulimuazima kiatu Leo kesho anaweza akakuta mguu
Nishavunjwa mbawa
ilimradi anga nisipepee
nibaki chini niwanyenyekee
Ndo nakueleza
Haiko sawaaa
walikesha wakiomba nipotee
mungu baba akanitetea
Ndo nakueleza
Ila anabless Sir God
Sir God
Ndo Mana nipo Hapa leo
Sir God
........
aah maisha ngazi kaza mwendo ukipataka juu
Dunia ni chafu muombe mungu utatakata tu
Ishi kwa shaka binadamu wengi paka
ulimuazima kiatu Leo kesho anaweza akakuta mguu
TAKE FIVE NOW!!
lyrics by @Samhits..Tz