Binti kiziwi (Radio Edit) ft. Z Anto & Pingu Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Binti kiziwi (Radio Edit) ft. Z Anto & Pingu - Dominick DM7
...
nimpate vipi? mi sijui,nina imani mapenzi hayajui iii
nitapata ugonjwa wa moyo, kwa sababu ya mawazo
ninavyojua maisha yake, hajawahi kuwa na boyfriend
ila ni mimi wa kwanza na ninashindwa kumpata
kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti mi na mzingua
eti kama angelikua anasikia, basi ukweli wangu angeujua ×2
ningemzoea rafiki yake, basi mi ningemtuma
ningezitambua ishara zake, kwake mi ningefika ×2
Chorus
Sio Siri ninampenda, binti kiziwi
moyo wangu wamwoteka, binti kiziwi
sio siri nateseka juu yake, ye binti kiziwi
sio siri ninampenda, binti kiziwi
moyo wangu wamwoteka, binti kiziwi
kichwa kinauma mawazo, kwake binti kiziwi iii
nashangaa pale ninapomkuta, akiwa na wenzake wanaongeaaa
huwa najiuliza mimi, wanaongea, naye vipi
nashangaa pale napo muita, nahisi huwa anakataa
sijui ndio hasikii, au mapozi, au mapozi naye
afadhali angejua kusoma, hata chale ujumbe ningempa
eti kama ningejua isharaa, basi kwake ningefika mimi
afadhali angejua kusoma, hata bonge ujumbe ningempa
eti kama ningejua isharaa, basi kwake ningefika baby
Chorus
sio siri ninampenda, binti kiziwi
moyo wangu wamwoteka, binti kiziwi
sio siri nateseka juu yake, ye binti kiziwi
sio siri ninampenda, binti kiziwi
moyo wangu wamwoteka, binti kiziwi
kichwa kinauma mawazo, kwake binti kiziwi
binti kiziwi yuko full yaani yuko bombaa
amenidatisha mnyamwezi na yake figure
tatizo ni moja tu ambalo mimi hulinasibu
kila kukicha nikiwaza mimi sipati jibu
nikimwambia neno I love you, wala halijui
nikimwambia neno I need you, halitambui
nikimwimbia nyimbo nzuri, hata hasikii
pingu nasikitika nikimwona binti kiziwi ×2
hata kusema neno I love youuu kwake halijui
hata kusema neno I need you kwake halitambui ×2
baby, baby, baby booo, baby I love you
ingawa nateseka naye, baby I need you
baby, baby, boo(uuhuu), baby I love you (uuhuuuu)
baby(tuhuuu) baby, I need you