DANCE YA KUDONJO ft. YBW Smith Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2024
Lyrics
Ati Dance ya kudonjo ni dance ya ma…
Dance ikishika unazungusha……
Right to the left mkono zungushia……
Hii ni dance ya ma… hii ni dance ya ma….
Ati Dance ya kudonjo ni dance ya majuu
Dance ikishika unazungusha mguu
Right to the left mkono zungushia juu
Hii ni dance ya majuu hii ni dance ya majuu
Ati Dance ya kudonjo ni dance ya majuu
Dance ikishika unazungusha mguu
Right to the left mkono zungushia juu
Hii ni dance ya majuu hii ni dance ya majuu
Nilimuita hey kuja straight kilimani
Msupa alibambika nikisema ye ni mali
Na hang na ma G ka ni fom tunakill
Hii ni doba safi na ni genge imetii
Vibe ingine real kushika mic mi mzii
Collabo sio free tukipop wanabreeze
Wanakuanga wametii waki jiita wasanii
Wanakuanga wametii waki jiita wasanii
Na manzi ako daily insta snapchat alicome akaitisha
Juu kuna time nilidate twin sisters
Wanafwanana lakini mi sidai tifla
Ukiwa mavitu ni ngumu kuwa tofautisha
Wote wasomali halima na khadija
We unapimanishwa ukitumiwa mapicha
But kitu real sura isiwahi kuchanganisha
Na figa ya shakila watasema umelalisha
Ati Dance ya kudonjo ni dance ya majuu
Dance ikishika unazungusha mguu
Right to the left mkono zungushia juu
Hii ni dance ya majuu hii ni dance ya majuu
Ati Dance ya kudonjo ni dance ya majuu
Dance ikishika unazungusha mguu
Right to the left mkono zungushia juu
Hii ni dance ya majuu hii ni dance ya majuu
Nasaka formula,
Nisonge wapi niende wapi ndio ni get mulla
Juu akina njery mercy wambo wananditafuta
Na vile shere tulipiga jana ikalipaka
Aki walai nilinipatanga stenje
Na kwenye mfuko nini chwani nyuma mbele
Na kila sa ati safari si twende
Staki kumarry mi nitajimada na madenge
Kwanza kidogo nina fever
Nichill tu kejani nikijimada na fifa
We skuma memes si tunacheza na ma figure
Kaa imekunice ongeza volume kweye speaker .
Magi magi
Na niko bukla na cheki tu ma bunda nda
Na Niko magani nakladi ni za ula-yaa
Mi niko ready ni wapi tunakutanaaa
Tukazitoke na machajo zikitubamba
Ati Dance ya kudonjo ni dance ya majuu
Dance ikishika unazungusha mguu
Right to the left mkono zungushia juu
Hii ni dance ya majuu hii ni dance ya majuu
Ati Dance ya kudonjo ni dance ya majuu
Dance ikishika unazungusha mguu
Right to the left mkono zungushia juu
Hii ni dance ya majuu hii ni dance ya majuu