Digii II ft. sosatheprodigyy, o6ix_june & prod.chacha Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Digii II ft. sosatheprodigyy, o6ix_june & prod.chacha - Mr.Tee
...
Mi nadai nikudigi nikuseti kwa kiti
Mi nadai nikudigi
Mi na mi Na Mi nadai nikudigi
Mi nadai nikudigi nikuseti kwa kiti
Mi nadai nikudigi uskie fiti
Nataka soba zangu
zizoze Kaa injilli
Nizoze mara moje
Nizoze Mara nbili
(Aiiii)
Na wapoa ni wavue kanchiri
Wapoa wakuje fom ka wamedungia ma-mini
Mpoa akona tatoo
Mpoa Na mpini
Mpoa Na manati
Mpoa wa mjini
Juu wengine
Wanasema Mimi ni sosa
Wengine washacheza
Doba zangu ya kutosha
Wengine wanasema
Nikidigi nta collabo
Ni saa ya kucome
Inabakii nawaosha
Wengine doba zao ziko
Chini kama carpet
Wengine nawapeleke na
Rada mapuppet
Luku diriba
Ilikuja Na jacket
Juu ya maduya
Nishamada sachet
Mi nadai nikudigi
uskie fiti
Nadai kukupin (manze)
Nadai nikuchew
Nikublow kaa bigji
Nadai turelax
Tukidishi minji
Mi nadai nikudigi
uskie fiti
Nadai kukupin (manze)
Nadai nikuchew
Nikublow kaa bigji
Nadai turelax
Tukidishi minji
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti (ah). (4x)
Ntakudigi tu vi (ah)
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti (ah)
JUNE
Girl mi love the way your body
Call call me tonight
Girl you make me feel a bad man alright
This is why me wanna give you all my life
(In the morning)
Girl mi I love you in the morning
(In the morning)
Same time baby mi I’m horny
Call me anytime
That You want me
That you want meeee
(Walaii)
Pum pum pum
Mi naipiga mijeledi
Nikudigi fiti nicheze naizo jegi
Unaeza kuja kuja kuja home my lady
For you nishadie yaani sosa
Nakudedi
Aii
Mpoa amejibeba
Ayella kama kendi
Mpoa naeza pigisha
Malap ma weekendi
Ati niko niko on hizi
Ngwai nakuseti
Vile niko ganji unashikiwa kibeti
(Walaiii)
Mi nadai nikudigi
uskie fiti
Nadai kukupin (manze)
Uskie thithi
Nadai nikuchew
Nikublow kaa bigji
Nikublow kaa bigji
Nadai turelax
Tukidishi minji
Mi nadai nikudigi
uskie fiti
Nadai kukupin (manze)
Uskie thithi
Nadai nikuchew
Nikublow kaa bigji
Nikublow kaa bigji
Nadai turelax
Tukidishi minji
Burn burn msupa aliburn
Msupa akikupa basi cheza Na githa
(Na githa)
Mimi siko sawa nimejawa
Na kichaa 2x
Nimekuja kama nyota
Sasaa nimengaa
(Nimengaa)
Sh shs
Shi ki sha
Morio akikupa basi buda
Pitisha2x
Mishandle2x
Dismantle 2x
Lights
Camera
Action!!!!
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti 5x
Ntakudigi tu vi 2x
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti